Karibu sana katika blog hii, Na utapata kujifunza mengi kuhusu biblia huku ukishilikiana na ndugu, jamaa na marafiki kujadili maada mbali mbali za biblia.
Kama una swali au maoni yoyote juu ya biblia unaweza kutoka comment yako ili upate majibu kutoka kwa jamaa, ndugu na rafiki zako..
[Mathayo 18:21,22]·Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose
mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara
saba, bali hata saba mara sabini.