Monday, March 16, 2015

SOMO LA WIKI YA TATU

1 Yohana 4:3
Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.