Monday, February 2, 2015

Je! Nikwanini watu hawajibiwi maombi yao?

Ni kwanini watu wengi hufunga na kuomba lakini MUNGU anachelewa au hajibu kabisaa maombi yao?Kama una lolote la kuchangia kuhusu swala hilo unaweza andika coment yako hapo chini.